BARUA: SAKATA LA WALIOKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI CHINA

Posted: July 29, 2013 in Uncategorized

BARUA: SAKATA LA WALIOKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI CHINA

Nimesoma vizuri ni barua aliyoiandika tarehe 11/7/2013 week chache zilizopita na akamtaja Balozi Philip Marmo kua amewatembelea na bado anamtaja kama balozi wa china lakini kwa kumbukumbu zangu kama ntakua sahihi Balozi wa sasa wa China ni Jenerali Mstaafu Shimbo, ila kuna mengine ambayo tunatakiwa kujiuliza ghorofa la Chonji lipo kweli mitaa hiyo nakubaliana nae asilimia mia moja ila najiuliza amekamatwa lini na je aliliacha likiwa kwenye ghorofa ya ngapi na kwa sasa amejuaje lina floor 5? Mwandishi mara yake ya kwanza kubeba unga… anasema alibeba kama kilo na robo hivi… aisee jamaa ni hatari..akiwa mzoefu angebeba kiloba. Kamtaja Mh. Iddi Azan then anasema leo anataja wachache maana wengine hawezi kuwataja kwa sababu ya nyadhifa walizonazo serikalini kwa hiyo Iddi Azan yeye sawa kumtaja? Sio kama nakataa barua hii ila naona kama ina utoto mwingi na hisia za watu binafsi akihojiwa anaweza kusaidia kupatikana kwa bosi aliempeleka airport na kuondoa genge la watu wachache kuchafua Taifa letu

Advertisements
Comments
  1. Glory says:

    sembe inaendelea kumake headlines, duh!!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s