Mkutano Wa Bodi ya MSD na watumishi

Posted: July 9, 2013 in Uncategorized

Faustine's Baraza

20130709-151857.jpg
Leo tulikuwa na kikao cha Bodi ya Bohari ya Madawa (MSD). Tumejadili mambo mengi kuhusu kuboresha upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi nchini pamoja na changamoto nyingi zinazokabili taasisi hii. Baada ya kikao cha Bodi tuliamua kufanya kikao na wafanyakazi Wa Makao Makuu. Tumejifunza mambo mengi kuhusu taasisi na changamoto zinazowakabili. Pichani ni baadhi ya watumishi wa MSD.
20130709-151949.jpg
Pichani: Mwenyekiti Wa Bodi, Prof. Idris Mtulia na Mhe. Albert Obama wakifuatilia mazungumzo na watumishi wa MSD.
20130709-152008.jpg
Na mimi kama mjumbe wa Bodi nilikuwepo katika kikao hiki.

View original post

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s