Hongera Serikali kwa kurejesha Viboko mashuleni

Posted: April 10, 2013 in Uncategorized

Hongera Serikali kwa kurejesha Viboko mashuleni

Nakubaliana na Serikali asilimia mia moja kwa kurejesha hoja ya viboko/bakora mashuleni. Naamini viboko/bakora vinaleta nidhamu na mwisho wa siku tutakuwa na ufaulu mzuri tofauti na siku za hivi karibuni. Kwa mifano michache Tuangalia shule ambazo nidhamu ya wanafunzi iko juu na jinsi wanavyofaulu kama shule za seminari na shule zinazomilikiwa na majeshi zimekua zinafanya vizuri kutokana na nidhamu waliojengewa. Matokeo mabovu yanachangiwa na uwepo wa nidhamu mbovu shuleni. Kwa kurejesha adhabu hii naamini watarejesha nidhamu. Naipongeza serikali kwa kurudisha viboko mashuleni.

Follow me on twitter: noor_abdul

© Abdul Noor

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s