SALAMU ZA PASAKA MWAKA 2013

Posted: March 30, 2013 in Uncategorized

SALAMU ZA PASAKA MWAKA 2013

Marafiki,

Kwa niaba ya abdulnoorblog.wordpress.com na http://www.facebook.com/MakeMeRealizeThatMyHeartWasNotBroken naungana na Wakristo wote duniani kuwatakia kila la kheri na fanaka katika kusherehekea Sikukuu ya PASAKA 2013.

Ni imani yangu kubwa kuwa Sherehe hii ya Pasaka itakuwa kigezo cha kuwakaribisha Wakristo wa Imani zote kujitazama kwa wongufu na kuridhia misingi mikuu ya dini yao. Ni muda muafaka wa sisi kwa pamoja au kwa mmoja mmoja kuupa nafasi uhuru wa kuabudu na kusujudu juu ya imani yetu.

MUNGU AWABARIKI.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s